PangoPro® — Simamia Mali Zako kwa Urahisi [email protected] 0765 073 073 / 0717 073 073
PangoPro Logo
Ingia (Login)
PANGOPRO® — SULUHISHO KWA NYUMBA, FREMU ZA BIASHARA, BAR NA MAJENGO

Simamia Mali Zako, Kodi na Mikataba kwa Hadhi ya Kitajiri.

Mfumo wa kisasa unaorekodi kila malipo ya kodi (siku, saa kamili, kiasi na njia ya malipo: Cash, Bank au Simu), unatuma SMS za Kukumbushia Kodi & Barua Pepe Otomatiki, unatoa PDF za Invoice, Receipt na Ripoti zenye Logo ya PangoPro®, na kuruhusu Mwenye Nyumba na Mpangaji kusaini mkataba online.

Ingia Kwenye Akaunti
E-Contract Saini Online & PDF Email
SMS Otomatiki Vikumbusho vya Kodi & Risiti
PDF Reports View, Download & Print
PANGOPRO EXECUTIVE SUITE

Simamia Mali Zako kwa Urahisi

Makusanyo ya Kodi (Ripoti ya PDF) TZS 36,400,000/=
● LIVE ERP
Njia za Malipo Cash • Bank • Simu
Matumizi (Ukarabati/Mlinzi) TZS 950,000/=
SMS za Kukumbushia Kodi & Email AUTO ALERTS

Vikumbusho vya kodi (Mwezi 1, Wiki 1 au Siku 1 kabla), PDF za Invoice, Receipt na Mkataba Uliosainiwa.

Muundo wa PangoPro®

Dashboards za Kisasa kwa Mwenye Nyumba na Mpangaji

Kila upande una menu zilizopangiliwa vizuri, kumbukumbu za malipo, mikataba na ripoti za PDF.

1. Dashboard ya Mwenye Nyumba / Fremu

  • Kusajili wapangaji wengi, kuhariri taarifa zao au kufuta mpangaji
  • Kumbukumbu za malipo: Tarehe, Saa kamili, Kiasi & Njia (Cash, Bank au Simu)
  • Kuona na kudownload risiti za Wakala/Bank zilizopakiwa na wapangaji
  • Kujaza matumizi (ukarabati, mlinzi, umeme) na kupakua Ripoti za PDF
  • Kuchagua muda wa SMS na Email za kukumbushia kodi kabla haijaisha

2. Dashboard ya Mpangaji

  • Kupokea SMS & Email ya ukaribisho akisajiliwa na Mwenye Nyumba
  • Kulipa kodi online, kuweka Namba ya Muamala na kupakia risiti ya Wakala/Bank
  • Ku-view na kudownload PDF za Invoice, Receipt na Ripoti ya malipo yake
  • Kusoma na kusaini mkataba online na kupokea PDF kwenye Email yake
  • Kuhariri taarifa zake za msingi (Namba mpya ya simu, Email na Jina)
PangoPro Digital Lease Contracts

Samples za Mikataba ya Kisasa, Kusaini Online & PDF Attachment

Mwenye nyumba anaweza kupakia mkataba wake au kuchagua sample zilizopangiliwa kitaalamu kulingana na aina ya pango. Baada ya pande zote mbili kusaini online, mfumo unatuma PDF ya Mkataba Uliosainiwa kwenye Email ya Mpangaji na Mwenye Nyumba:

Mkataba wa Nyumba
Mkataba wa Chumba
Fremu ya Biashara
Mkataba wa Bar
Mkataba wa Eneo
Ofisi / Jengo
KUMBUKUMBU ZA MALIPO & MIKATABA 100% AUTOMATED

1. Kila malipo yanarekodi Tarehe, Saa Ngapi, Kiasi na Njia ya Malipo (Cash, Bank au Simu).

2. Mwenye nyumba na Mpangaji wanaweza ku-view na kudownload Invoice PDF, Receipt PDF na Report PDF.

3. Mpangaji akipunguza kodi (nusu), SMS na Email zinamjulisha kiasi alichopunguza na deni lililobaki.

4. Baada ya wote kusaini mkataba online, kila mmoja anapokea Email yenye PDF ya Mkataba Uliosainiwa.

Bei na Vifurushi vya PangoPro®

Chagua Kifurushi Kinachokufaa

Ukijisajili tu unatumiwa Barua Pepe ya Ukaribisho yenye PDF Invoice (yenye Logo ya PangoPro®) pamoja na SMS papo hapo.

MSINGI BORA

Silver Executive

TZS 150,000 Kwa Mwaka • Hadi Wapangaji 10
  • Hadi Wapangaji / Vyumba 10
  • Mikataba ya Kisasa Online (E-Signature)
  • Vikumbusho vya Kodi kwa SMS & Email
  • Ripoti za Mapato na Matumizi za Mwezi & Mwaka
INAYOPENDWA ZAIDI

Gold Business VIP

TZS 350,000 Kwa Mwaka • Hadi Wapangaji 50
  • Hadi Wapangaji / Fremu za Biashara 50
  • Samples Zote za Mikataba (Nyumba, Fremu, Bar, Eneo) + Upload PDF
  • Ufuatiliaji wa Kodi Nusu & Madeni Kiotomatiki
  • Ripoti Kamili kwa Kila Mpangaji & Wapangaji Wote
  • PDF Invoices & PDF Receipts Otomatiki kwa SMS & Email
MAJENGO MAKUBWA

Platinum Imperial

TZS 750,000 Kwa Mwaka • Hadi Wapangaji 9999
  • Wapangaji, Fremu na Majengo Bila Kikomo
  • Ripoti za Miaka Mingi (Multi-Year Financial ERP)
  • Mikataba Maalum yenye Muhuri wa Kidijitali & Print Online
  • Usimamizi Kamili wa Matumizi (Ukarabati, Mlinzi, LUKU)
  • 24/7 Mapacha VIP Priority Support