Mfumo wa kisasa unaorekodi kila malipo ya kodi (siku, saa kamili, kiasi na njia ya malipo: Cash, Bank au Simu), unatuma SMS za Kukumbushia Kodi & Barua Pepe Otomatiki, unatoa PDF za Invoice, Receipt na Ripoti zenye Logo ya PangoPro®, na kuruhusu Mwenye Nyumba na Mpangaji kusaini mkataba online.
Vikumbusho vya kodi (Mwezi 1, Wiki 1 au Siku 1 kabla), PDF za Invoice, Receipt na Mkataba Uliosainiwa.
Kila upande una menu zilizopangiliwa vizuri, kumbukumbu za malipo, mikataba na ripoti za PDF.
Mwenye nyumba anaweza kupakia mkataba wake au kuchagua sample zilizopangiliwa kitaalamu kulingana na aina ya pango. Baada ya pande zote mbili kusaini online, mfumo unatuma PDF ya Mkataba Uliosainiwa kwenye Email ya Mpangaji na Mwenye Nyumba:
1. Kila malipo yanarekodi Tarehe, Saa Ngapi, Kiasi na Njia ya Malipo (Cash, Bank au Simu).
2. Mwenye nyumba na Mpangaji wanaweza ku-view na kudownload Invoice PDF, Receipt PDF na Report PDF.
3. Mpangaji akipunguza kodi (nusu), SMS na Email zinamjulisha kiasi alichopunguza na deni lililobaki.
4. Baada ya wote kusaini mkataba online, kila mmoja anapokea Email yenye PDF ya Mkataba Uliosainiwa.
Ukijisajili tu unatumiwa Barua Pepe ya Ukaribisho yenye PDF Invoice (yenye Logo ya PangoPro®) pamoja na SMS papo hapo.